Samuel Sitta Mgonjwa, Hawezi kutembea

Gazeti la leo la Tanzania Daima limetoka na habari ya kuumwa kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la 9 la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na waziri katika serikali ya awamu ya nne, na pia amewahi kuwa mwenyekiti mstaafu wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta

Ikumbukwe katika uchaguzi wa spika wa bunge la 11 Samuel Sitta aligombea nafasi hiyo pia lakini alikatwa na akapatikana Job Ndugai kupitia chama cha mapinduzi CCM, na baadaye Sitta alitangaza kuacha Siasa na kuendelea na shughuli zake binafsi

Hakuwa kusikika tena zaidi ya taarifa za kuhama kwenye nyumba ya serikali aliyokuwa akiitumia akiwa waziri wa awamu ya nne na awamu ya tano hakuchaguliw wala kuteuliwa kama mtumishi yeyote wa serikali, na hii leo gazeti la Tanzania Daima limeibuka na habari kuwa mwanasiasa huyo mkongwe anaumwa na hawezi Kutembea, Angalia Picha hii hapa chini ya Gazeti lilivyoandika


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo