September 10 2016 lilitokea tetemeko kubwa la ardhi kanda ya ziwa Tanzania na kusababisha vifo vya watu sita kwa mujibu wa Polisi, sasa basi tumepata taarifa nyingine inasema kwamba muda huu majira ya saa tano kasoro usiku Sept 11, 2016 limetokea tetemeko la pili.
Ripota wa blog hii anaendelea kufatilia taarifa zaidi na utaendelea kuzipata kadri zinanifikia
