skip to main |
skip to sidebar
Polisi wachunguzwa baada ya kula chipsi
Polisi Mkoa wa Shinyanga inafanya uchunguzi wa madai ya askari
wake kula chipsi na kukataa kulipa kisha kuanzisha fujo baada ya kudaiwa
fedha.
Askari hao zaidi ya watatu wanadaiwa kuagiza watengenezewe chipsi na mayai na kukataa kulipa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Muliro Jumanne amesema tukio hilo
lilitokea Agosti 13 eneo la Mshikamano Kata ya Ngokolo Manispaa ya
Shinyanga saa nne usiku.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi