Huyu kijana ameamua yeye mwenyewe kwa mapenzi yake kurudisha kadi ya Chadema na kuamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Iniho wilayani Makete chini ya katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Hapa akiwa na Nape Nnauye jukwaani wakati akiwaeleza wananchi
Jamaa naye akawaeleza raia sababu za kung'oka chadema na kutua CCM
Katibu mkuu Kinana akimkabidhi kijana huyo kadi ya CCM
Nape akifurahia baada ya jamaa huyo kujiunga na CCM