Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar
Watoto,
Ndugu, jamaa na Viongozi mbali mbali wakipokea mwili wa Marehemu Mzee
Aboud Jumbe mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Migombani ,Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akishiriki dua maalum mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu
Mzee Aboud Jumbe Mwinyi ambaye alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano na Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ,nyumbani
kwa marehemu Migombani Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (katikati)akishiriki dua maalum kwenye msiba wa Mzee Aboud Jumbe
nyumbani
kwa marehemu Migombani , Zanzibar wengine pichani kulia
ni mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa
Safari ya kwenda msikitini kuswaliwa