Imetokea Morogoro Wilaya ya MVOMERO kijiji cha MAFURU kitongoji cha
KIDIWA mwenyekiti wa kitongoji kwa jina GODFREY MPEKA ameuawa kikatili
na watu wanao sadikika kuwa ni wajamii ya wafugaji Mpaka mchana wa
Tarehe 9 mwezi huu Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi na Afisa usalama wa Wilaya
walikuwa katika eneo la tukio wakiwatafuta wauaji hao.
Mauaji hayo yametokea Mara Tu baada ya mwenyekiti kuwakamata ngombe
walio kuwa wame ingizwa kwenye shamba la wanakijiji ndipo wafugaji
walipo mkamata mwenye kiti na kumchinja kama kuku.
Angalia Video hapo chini