Msukuma: Sijawahi Kuwa Rafiki wa Edward Lowassa

Akizungumza leo asubuhi kupitia star tv,Joseph Kasheku (msukuma )amesema hajawahi kuwa rafiki wa Lowassa na alichokuwa anakifanya mwaka jana ni umamluki kama wanavyofanya askari kwenye vita.

Amesema wazi kuwa alitumwa kumpeleleza Lowassa kipindi hicho.Pia amesema hajawahi kuchukua hata senti moja ya Lowassa,na kama kuna mtu anajua alichukua hela ya Lowassa aseme na yupo tayari kuzirudisha.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo