Akiwa Times FM jioni leo, Mwenyekiti wa Bodi ya Parole amewaasa vijana
kutoshiriki kwenye vurugu za kisiasa kwa kuwa ameyaona maandalizi ya
kuwapokea huko magerezani na ni balaa.
Amezungumzia pia uhusika wa nafasi yake kwenye shughuli za Bodaboda.
Chanzo: Times FM
Amezungumzia pia uhusika wa nafasi yake kwenye shughuli za Bodaboda.
Chanzo: Times FM