Mkuu wa wilaya ya Kasulu aingia msituni kusaka wawindaji haramu na watekaji.
MKUU wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) ambaye aliteuliwa
na Mh.Rais Dkt.John Magufuli kuongoza wilaya hiyo Mh.Dc.Kanali Martin
Mkisi, jana amewakamata wawindaji haramu na watekaji.
Wahalifu hao hutumia silaha hizo kwa ajili ya ujangili katika hifadhi
za taifa, na watekaji hutumia silaha kuteka wasafiri baadhi ya vitendo
hivi hufanywa na wahamiaji haramu ndani ya Wilaya hiyo.
Dc huyo kwa kushirikiana na timu yake ya ulinzi na usalama, walifanikiwa kukamata wawindaji haramu na watekaji. Zoezi hilo ni endelevu msitu kwa msitu alisema Mkisi
Dc huyo kwa kushirikiana na timu yake ya ulinzi na usalama, walifanikiwa kukamata wawindaji haramu na watekaji. Zoezi hilo ni endelevu msitu kwa msitu alisema Mkisi