Wanafunzi wa kike waliopevuka wajengewa choo chao shuleni Njombe

Katika kuhakikisha mtoto wa kike anapata elimu katika mazingira safi bora na salama shule ya Msingi Wanginyi wilayani Njombe imejenga choo maalum kwa watoto wa kike waliopevuka wanachokitumia pindi wanapokuwa kwenye siku zao

Choo hicho kimejengwa wakati wa kampeni maalum ya ujenzi wa vyoo bora na usafi wa mazingira kijijini na kwenye shule za msingi ambayo inafanyika kwenye halmashauri 42 kote nchini chini ya uratibu wa wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto

Mwalimu mkuu wa shule hiyo Ezra Mgaya anaeleza kuwa kabla ya kuanza kwa utekelezaji wa kampeni hiyo hali ya mahudhurio ilikuwa hafifu kutokana na matumizi ya choo cha mabanzi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo