Wahamiaji haramu 18 wakamatwa Mtwara

Idara ya uhamiaji mkoani Mtwara imewakamata wahamiaji haramu 18 raia wa Ethiopia kwenye kijiji cha Kilambo, Mtwara Vijijini wakijiandaa kuvuka mpaka kwenda Msumbiji.

Kamishna msaidizi wa idara ya uhamiaji na ofisa uhamiaji Mkoa wa Mtwara, Rose Mhagama amesema wahamiaji hao wamekamatwa Jumatatu asubuhi wakiwa na hati za kusafiria, lakini hawakuwa na kibali cha kuingia nchini wala nchi wanayokwenda.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo