Uhakika: Sikukuu ya Eid Jumatano July 06

Taarifa ambayo imetolewa na Mufti Mkuu wa Tanzania Zubeir Bin Ally muda mfupi uliopita ni uthibitisho wa  sikukuu ya Eid ul Fitr ambapo Waislam wote walikua wakisubiri kuandama kwa mwezi,Kwenye taarifa yake Muft Zubeir amesema Mwezi huo umeonekana sehemu mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania.

Amewaomba pia waislam kujitokeza kwenye misikiti mbalimbali kwa ajili ya ibada ya Eid ul Fitr.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo