Mchungaji Msigwa amkubali rasmi Magufuli kuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano.!

Akijitetea kuhusu kupiga picha na Rais, amejitetea kuwa, alikuwa hana namna/sababu ile ni nafasi adimu kupiga picha Na Rais/ Mfalme wa nchi...

Alipoulizwa kwa nini alisimama jirani Na Dr.Tulia Naibu spika, kwa nini asingesimama mbali....amesema Rais Mwenyewe ndio alimwita kuwa njoo usimame hapa....Na yeye sababu ameitwa Na Rais/Mfalme wa nchi alikuwa hana namna sababu Yule ndio Raisi wetu Na ile ni nafasi pekee.


Kuhusu ugomvi Na Magufuli.... amesema wao (UKAWA) hawana ugomvi Na Rais Magufuli.....ila wanaugomvi Na taasisi ya Urais.

ametoa maneno hayo kupitia kipindi cha Mada moto cha Channel ten


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo