Watatu wafa kwa kula mihogo yenye sumu


Watu watatu wamefariki dunia baada ya kula mihogo inayodhaniwa kuwa na sumu. 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei amesema jana kuwa tukio hilo juzi saa tisa mchana katika Kijiji cha Kauzeni, Manispaa ya Morogoro. 

Amesema watu hao ni kati ya watano waliokula mihogo hiyo, lakini wawili walinusurika baada ya kuwahishwa Hospitali ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Mzinga kwa matibabu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo