Lowassa aliturahisishia kazi - Nape

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa angebaki ndani ya chama hicho wangekuwa na mzigo mkubwa wa kuwaaminisha watu kuwa CCM si mafisadi ” 

“CCM ilifika pabaya, kelele zilizidi kwani tuhuma dhidi yake (Lowassa) zilikuwa zikikipaka matope chama. 

Wananchi walikuwa wameichoka Serikali yao kutokana na kuingia mikataba mibovu, rushwa, ufisadi na watu walikuwa wanafanya vitendo vya aibu na kujificha ndani ya chama.”


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo