Mchungaji ‘aziba pengo’ la Gwajima

Kanisa la Ufufuo na Uzima, jana limeongozwa na mchungaji Edward Adriano badala ya Askofu Josephat Gwajima ambaye Msako huo wa Askofu Gwajima umekuja baada ya kusambaa kwa sauti inayosikika kama yake akitaka Rais mstaafu, Jakaya Kikwete afikishwe mahakamani kwa yote yaliyofanyika wakati wa utawala wake.

 Jana, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la Askofu Gwajima atalizungumza leo. 

Alhamisi iliyopita polisi walizingira nyumbani kwa askogu huyo kwa saa saba, wakitaka kumkamata bila mafanikio.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo