Mwingine tena ashtakiwa kwa kumtukana Rais Magufuli WhatsApp

Baada ya aliyemtukana Magufuli facebook, Isaac Abakuk kuamriwa kutoa faini ya milioni 7 na Mahakama Kuu kanda ya Arusha na wadau mbalimbali wakamchangia milioni 4.5, Sasa mtanzania mwingine wa pili kushtakiwa ni Leonard Mulokozi Kyaruzi ambaye anakabiliwa na mashtaka baada ya kusambaza maoni yake kwenye mtandao wa WhatsApp yanaomtusi rais Magufuli,  Kyaruzi ameshtakiwa chini sheria uhalifu wa mtandaoni.
image-21-06-16-19-50


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo