Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema
au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za watu wanaotoa rushwa au
kupokea rushwa kwaajili ya kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa ambapo
uzinduzi huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya
Dharura ya 113 unayoweza kupiga na kutuma sms za kawaida Uzinduzi huo
umefanyika leo katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es
salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Tehama TAKUKURU, Neema Mwalyelye akitoa maelekezo kwa Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
alipotembelea kwenye banda la kitengo cha Tehama wakati wa uzinduzi
wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa
kutoa Taarifa za watu wanaotoa rushwa au kupokea rushwa iliyofanyika
katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akivuta kamba kuashiria uzinduzi wa gari la matangazo ya Kampeni ya
kupambana na Rushwa ya LONGA NASI kwa kupiga namba 113 na kutuma kutuma
sms kwenda namba 113 ili kutoa taarifa ya kutoa au kupokea Rushwa kwa
TAKUKURU.
Naibu Mkurugenzi wa elimu kwa umma TAKUKURU, Stela mpanju akizungumza kabla
ya kuzindua wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na
TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au maoni ya kuboresha
mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo umeambatana pamoja na
uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura ya 113 kupiga au kutuma
sms ya kawaida bila gharama yeyote. Uzinduzi huo umefanyika leo katika
viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valontino Mlowola akizungumza kabla
ya kuzindua wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na
TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au maoni ya kuboresha
mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo umeambatana pamoja na
uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura ya 113 kupiga au kutuma
sms ya kawaida bila gharama yeyote. Uzinduzi huo umefanyika leo katika
viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Angela Kairuki akizungumza kabla ya kuzindua wa kampeni ya LONGA NASI
inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya
Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi
huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura
ya 113 kupiga au kutuma sms ya kawaida bila gharama yeyote. Uzinduzi huo
umefanyika leo katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es
salaam.
baadhi ya
wananchi na wafanyakazi wa TAKUKURU wakiwa katika uzinduzi wa kampeni ya
LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za
vitendo vya Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa
ambapo uzinduzi huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya
simu ya Dharura ya 113 kupiga au kutuma sms ya kawaida bila gharama
yeyote. Uzinduzi huo umefanyika leo katika viwanja vya Mwembe Yanga
Temeke jijini Dar es salaam.
Yamoto
band wakitumbuiza katika uzinduzi wa kampeni ya LONGA NASI
inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa kutoa Taarifa za vitendo vya
Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi
huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa matumizi mapya ya simu ya Dharura
ya 113 kupiga au kutuma sms ya kawaida bila gharama yeyote. Uzinduzi huo
umefanyika leo katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es
salaam.
Mwanamziki wa Kizazi kipya, Kala Jelemaya akitumbuiza katika uzinduzi
wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa
kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano
dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa
matumizi mapya ya simu ya Dharura ya 113 kupiga au kutuma sms ya kawaida
bila gharama yeyote. Uzinduzi huo umefanyika leo katika viwanja vya
Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam.
Wanakikundi cha Msimamo wakitumbiza katika uzinduzi
wa kampeni ya LONGA NASI inayomaanisha Sema au ongea na TAKUKURU kwa
kutoa Taarifa za vitendo vya Rushwa au maoni ya kuboresha mapambano
dhidi ya Rushwa ambapo uzinduzi huo umeambatana pamoja na uzinduzi wa
matumizi mapya ya simu ya Dharura ya 113 kupiga au kutuma sms ya kawaida
bila gharama yeyote. Uzinduzi huo umefanyika leo katika viwanja vya
Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es salaam.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Angela Kairuki akipata maelekezo alipotembelea katika banda la Tehama
la TAKUKURU katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar es Salaam
leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Angela Kairuki mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mwembe Yanga
Temeke jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa kampeni ya kupambana
na Rushwa kwa kutuma sms a kupiga simu TAKUKURU.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.