Baadhi
ya Mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa
jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya
Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.(PICHA NA BEATRICE
LYIMO-MAELEZO).
Familia
ya aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson
Kabwe wakifuatilia ibada ya kutoa heshima za mwisho ya kuuaga mwili huo.
Waziri
wa Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene akiwakisha salamu za
rambirambi kutoka Serikalini wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa
aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe
katika viwanja vya Karimjee, leo jijini Dar es salaam.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es salaa Paul Makonda akiwasilisha salamu za rambirambi
kutoka ofisi ya Mkuu mkoa wa Dar es salaam wakati wa kutoa heshima za
mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea
Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee, leo jijini Dar es salaam
Waziri
wa Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene akitoa heshima za mwisho
kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson
Kabwe katika viwanja vya Karimjee kabla ya safari ya kuelekea Mamba,
Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa
Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika
viwanja vya Karimjee kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same
mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
Meya
wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita akitoa heshima za mwisho kwa
aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe
katika viwanja vya Karimjee kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani
Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi.
Baadhi
ya Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya heshima za mwisho
kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson
Kabwe kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa
Kilimanjaro kwa mazishi.