Huenda huu ndio ukawa mwisho wa headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United, kwani taarifa kutoka mitandao mingi ya soka Ulaya ikiwemo Sky Sport unaripoti kocha huyo kujiunga na Man United.
Sky Sport wameripoti Jose Mourinho kusaini mkataba rasmi na Man United, kinachosubiriwa ni uongozi wa klabu hiyo kumtangaza tu, kwani leo May 26 ameonekana katika hoteli London akiripotiwa kuwa alikuwa na kikao na mtendaji mkuu wa Man United Ed Woodward.
Video ya ripota wa Sky Sport akithibitisha Jose Mourinho kujiunga Man United bonyeza hapa