Basi
jingine la mwendo kasi limepata ajali mabaya eneo la Magomeni Usalama.
Ni baada ya gari dogo kukatisha kwenye barabara ya magari ya mwendo
kasi.
Basi Jingine la Mwendo kasi Lapata ajali Eneo la Magomeni Usalama
By
Edmo Online
at
Sunday, May 29, 2016