Gari lenye namba za usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na DAWASCO likiwa limeparamia kituo cha mabasi
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi
abiria watatu waliokuwa kituoni hapo.
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya
saa 2 usiku eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo jijini Dar es
Salaam
(PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi