Ajali: Basi la Leo Luxury Coach (Dar-Mwanza) lagongana na Fuso, Dereva wa Fuso afariki dunia

Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki.
Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima.
http://www.jamiiforums.com/attachments/1463929589746-jpg.349916/http://www.jamiiforums.com/attachments/1463929615037-jpg.349917/


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo