Pichani..Bi
Oliva Vavunge ....Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi jana
amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
kutokana na Kutosimamia Mradi wa Umwagiliaji na Ujenzi wa Banio katika
Kijiji cha Narunyu Kata ya Kiwalala Lindi...Picha na Abdulaziz Lindi