Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kulinasua gari ambalo lilinasa kwenye matope yaliyo jaa katika Nyumba ya kulala wageni kutokana na mafuriko katika mto Uyole jijini Mbeya
Wakazi wa Uyole jijini Mbeya wakizoa mchanga kwenye mto Uyole ambao ulijaa na kusababisha mafuriko yaliyoleta madhara, ambapo zaidi ya familia mia moja ziliharibiwa makazi yao pamoja na chakula(PICHA NA KENNETH NGELESI)