Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Daudi Yassin ametoa onyo kwa vijana walioomba kujiunga kwa hiari na jeshi la kujenga taifa JKT kuwa hatua za kisheria zitakuchuliwa kwa watakaobainika kutumia vyeti vya kugushi ama udanganyifu mwingine wowote
Akizungumza na EDDY BLOG baada ya kufungwa zoezi la kupokea maombi ya kujiunga na JKT, Mkuu huyo amesema safari hii serikali iko makini kuhakikisha hakuna udanganyifu wowote utakaofanyika kujiunga na jeshi hilo

Aidha ametoa wito kwa vijana ambao hawajafanya udanganyifu kuwa hatua zote zitafuatwa katika usaili huo kuhakikisha haki inatendeka
Bonyeza alama ya play hapo chini kumsikiliza akiongelea suala la Kujiunga na JKT