Usiku wa kuamkia 22.4. mwaka huu ilikuwa siku matokeo wa uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji kutangazwa na Afisa uchaguzi jimbo la Makete Mwl. Gregory Emmanuel kwa niaba ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la makete
Hapa kuna sauti akitangaza matokeo na unaweza kusikiliza na kudownload pia
