Siku chache za uteuzi, Mkuu wa mkoa amlilia Rais Magufuli, Angalia video hii

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Steven Kebwe (kushoto) wakiwa katika tukio rasmi la makabidhiano ya ofisi lililofanyika Machi 24, 2016.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro aliyemaliza muda wake, Dk. Rajab Rutengwe amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. John Pombe Magufuli kwa kushindwa kuendana na kasi ya "HAPA KAZI TU" hali iliyopelekea kuwekwa pembeni na nafasi yake kuchukuliwa na Dk. Kebwe Kebwe, ambapo amemuomba amfikirie upya kutokana na kutokujua pa kushika baada ya kuwekwa kando.


Dk. Rutengwe Aliyasema hayo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo, Dk Kebwe S. Kebwe

angalia video hii hapa chini


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo