skip to main |
skip to sidebar
Picha za ajali Basi la Abiria mali ya Kampuni ya Princess Muro

Basi la Abiria mali ya Kampuni ya Princess Muro, limeparamia Kibanda cha Kituo cha Mabasi yaendayo kasi eneo la Kimara Jijini Dar usiku wakati likiingia kutoka Mkoani. Chanzo chake bado hakijafahamika mpaka sasa.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi