Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkaoni Ruvuma F 5425 PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hilo kwa kosa la kujipatia ajira kwa vyeti vya Kugushi, Na kwasasa hajulikani alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.
Askari Feki mwingine abainika, Soma Hapa
By
Edmo Online
at
Wednesday, March 30, 2016