Wafanyabiashara wa Makete mjini Mkoani Njombe wamefunga biashara zao tangu asubuhi ya leo na kwenda kwenya kikao na mkurugenzi wa halmashauri ya Makete wakilalamikia utozwaji wa ushuru wa huduma (service Levy) pamoja na kodi kuwa ni kwa kiwango kikubwa
Hadi tunaingia mitamboni saa nane kamili mchana bado kikao hicho kinaendelea na hizi hapa ni picha za kikao hicho
Kikao kikiendelea
Wengine walikaa nje ya ukumbi





