Picha 8 za Mwenyekiti wa ‪ CHADEMA‬ Freeman Mbowe Alivyofika kujionea hali ya Mgomo wa Mabasi Ubungo Dar es salaam

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mh Freeman Mbowe aliwasili JANA katika stend ya mabas ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa wakiendelea na mgomo na kuitaka serikali iwasikilize shida zao.

Mbowe ambaye aliwasili  majira ya saa nne kasoroo asubuhi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi kumshangilia kwa nguvu huku wengine wakifuta barabara ili gari yake ipite huku nyimbo za Ukawa zikiimbwa,jambo ambalo lilizua taharuki katika eneo hilo.

Kuhusu mgomo huo mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh PAUL MAKONDA aliwaomba madereva hao kuendelea na kazi na ndani ya siku saba serikali itakua tayari imeshatoa tamko.

Madereva hao wamekubali kuanza safari kwa sharti la ndani ya siku saba wawe wamesikilizwa kero zao.














Mpekuzi blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo