Rais Museven Achekelea kumsweka ndani Kiza Besigye, Angalia video hii

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ameshinda uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita amekanusha madai ya upinzani ya kuwepo wizi wa kura na pia kupuuza shutuma za waangalizi wa kimataifa.
Amezungumza na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus katika mahojiano maalum nyumbani kwake Rwakitura Magharibi mwa Uganda, Rais Museveni akianza kwa kuzungumzia kuzuiliwa nyumbani kwa mpinzani wake Dkt Kizza Besigye.

bonyeza hapo chini uone video ya mahojiano hayo na bbc

Mahojiano ya BBC na Museveni
Rais Museveni azungumza na BBC kuhusu uchaguzi wa Uganda http://www.bbc.com/swahili/medianuai/2016/02/160222_museveni_interview
Posted by BBC Swahili on Monday, February 22, 2016


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo