Sehemu ya waombolezaji, walioshiriki Mazishi ya mwanahabari wakibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa Redio Tumaini, marehemu Fred Mosha makaburi ya Kinondoni baada ya ibada katika Kanisa la Katoliki la Chang'ombe Parokia ya Mtakatifu Francis Xavier, Temeke, Dar es Salaam
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Fred Mosha likiwekwa sawa tayari kwa Mazishi.
Ibada ya Mazishi ikiendelea kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam jioni hii.