Rais Magufuli amteua Valentino Mlowola Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU  kuziba nafasi iliyoachwa wazi na  Lilian Mashaka aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Kabla ya Uteuzi Mlowola alikuwa ni Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelijensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi.

Pia,kabla ya kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelejensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo