Mwili wa marehemu waopolewa mtoni daraja la Salender

Mwili wa mwanaume mmoja ambaye hakutambulika jina lake, umeokotwa leo asubuhi katika Daraja la Selander jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, mwili huo ulikutwa katika maji machafu darajani hapo, ambapo ulitambuliwa na dereva bodaboda aliyetoa taarifa polisi mara moja.

Mwili huo umepelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi wa kipolisi ili kubaini chanzo cha kifo chake.
(Picha/Habari: Makongoro Oging’ / GPL)
mwili waokotwa (1)
Kikosi cha uokoaji kikielekea eneo ulipokuwa mwili.
mwili waokotwa (3)
mwili waokotwa (9)
Wananchi wakishuhudia tukio hilo.
mwili waokotwa (4)
Mwili wa mwanaume huyo baada ya kutolewa kwenye maji.
mwili waokotwa (5)
Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo la tukio.
mwili waokotwa (6)
Mwili ukipelekwa kwenye gari baada ya kutolewa majini.
mwili waokotwa (7)
Mwili ukiingizwa kwenye gari.
mwili waokotwa (8)
Safari ya Muhimbili ikianza.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo