Mvua zaanza kuleta madhara Makete, Tazama picha hizi






Hali halisi inavyoonekana kutokana na mitaro ya kupitishia maji kuziba ukingoni mwa barabara kuu ya Makete Njombe eneo la Tandala na kupelekea kuharibika kwa barabara hiyo kama inavyoonekana (Picha na Edwin Moshi)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo