Kesho Desemba 9 ni siku ya Uhuru wa Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania na maadhimisho yatafanyika kwa namna ya kipekee kufuatia Rais Magufuli kuagiza watu kuadhimisha kwa kufanya usafi
Katika pitapita za blog hii mwandishi wetu amekutana na takataka hizi zilizosombwwa na maji na kutupwa sehemu isiyo husika baada ya maji hayo kukosa uelekeo kutokana na kuziba kwa mitaro
Hii imetokea katika kijiji cha Ikonda katibu na kanisa la KKKT Mtaa wa posta
Mbuzi akila takataka hizo






