Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je
Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa
za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha
Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa
kibongo.
Mbali na Dokta huyo kukabiliwa na changamoto kubwa kuhusu
huduma zake kwa sasa, Diamond ambaye ametumika kwenye matangazo ya Dokta
huyo ameandika haya leo mtandaoni mara baada ya kuweka picha akiwa na
Dokta huyo wa tiba mbadala.
“Mwenyez Mungu akupe kila lenye kheri na baraka kwa kuthamini na kussuport mziki wa Kitanzania…”.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi