Mkuu wa mkoa wa Mbeya amepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi wakati wa kazi mkoani Mbeya ili watumishi wa serikali na mashirika ya umma wahudumie jamii kwa wakati.
Hatua hiyo inafuatia utekelezaji wa vitendo wa kauli mbiu ya rais John Magufuli kwa vitendo iitwayo HAPA KAZI TU.
Chanzo: TBC
