Wamesema wamesikitishwa kwa chama kuonyesha waziwazi kwamba ni mali ya mtu mmoja na familia yake.
Iweje leo waletewe Mbunge wa Viti Maalum kutoka Tanga, hali hajui Mkoa wa Ruvuma ukoje na Jiografia yake.
Aidha pia wameshangazwa na uongozi wa Chama hiko kutotokea kwenye kikao maalum cha kupinga uamuzi huo.
Angalia video ya tukio hilo hapa chini
