Mgombea wa CCM ashinda uchaguzi jimbo la Lushoto

Katika Uchaguzi wa Ubunge uliofanyika jana Jimbo la Lushoto, mgombea wa CCM ameshinda kwa kupata kura 20,489 sawa na asilimia 80.
-Aliyemfuata kwa kura ni mgombea wa CHADEMA, amepata kura 4,420 sawa na asilimia 17


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo