Mnyama anayedhaniwa kuwa ni Simba ameua ng'ombe wanne na kujeruhi wengine watatu katika kijiji cha Kijombo kata ya Lupila wilayani Makete mkoani Njombe
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kijijini hapo ambazo zimeifikia eddy blog zinasema wananchi wa kijiji hicho na maeneo ya jirani wametakiwa kuchukua tahadhari ili wasidhuriwe na mnyama huyo
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa Eddy Blog
