Pikipiki hizi ambazo hazina namba za usajili zikisubiri abiria katika jijiji cha Usililo kata ya Luwumbu wilayani Makete mkoani Njombe kama zilivyonaswa na kamera yetu hivi karibuni.
Mara nyingi askari wa usalama barabarani wamekuwa hawafiki mara kwa mara katika maeneo haya jambo linalowafanya madereva bodaboda hao kutochukua hatua stahiki.