Mwanasheria wa chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] John Malya, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu wananchi wakiisha piga kura wakae umbali wa mita mia mbili kutoka katika vituo vya kupigia kura, kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa millenium tower jijini Dar es saalam
Afisa habari wa chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] Tumaini Makene akisisitiza jambo katika mkutano huo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam.
Waandi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mwanasheria wa chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] John Malya jana jijini Dar es Salaam . (Picha na Emmanuel Massaka