Makamu Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi (Bara), Leticia Ghati Mossore akiongea na wanahabari (Picha na maktaba yetu).
Makamu Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi (Bara), Leticia Ghati Mossore ameeleza kutoridhishwa na utaratibu uliotumiwa na mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kumwajibisha, asema ulikiuka katiba na kanuni za ya chama.
Mossore ameyaongea hayo wakati wa mkutano na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.