1. Siku Ukawa walipomteua Ndugu Lowassa ndio siku CCM ilijihakikishia ushindi. Hatukumteua sababu tuliamini Watanzania wengi hawatamchagua.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) September 23, 2015
2. Katika Uchaguzi huu, CCM inafanya utafiti wa ndani, wa Kisayansi kila wiki, na katika wiki zote kiwango cha ushindi kiko juu ya 60%.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) September 23, 2015
