Mwili wa Mwalimu aliyepotea kimaajabu wakutwa umefukiwa shambani kwa mwalimu mwenzake Njombe

Mabaki ya Mwili wa Aliyekuwa Mwalimi mkuu shule ya msingi Muholo kata ya Luana wilayani Ludewa katika Mkoa wa Njombe aliyepotea ktk mazingira ya kutatanisha tareh 29 mei 2015 Majuto Haule mwili wake umekutwa umefukiwa katika shamba la mwalimu Vincent Haule Nje kidogo ya kijiji cha Muholo leo
Mwalimu Vincent Haule wa shule ya msingi Luana ambaye ndo mmiliki wa shamba alimofukiwa marehemu mwalimu Majuto Haule


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo