Slaa: Ripoti ya Mwakyembe alitoa option mbili, Waziri Mkuu ajipime au Bunge lijadili na kutoa uamuzi, akakimbilia kujiuzulu. #SlaaAnafunguka
— East Africa Radio (@earadiofm) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Niko radhi sifa yangu iharibike kuliko kusema uongo na kukana dhamira yangu.
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Kama Mtanzania mwenzangu anakuja kwangu leo hii na kutaka kuninunua kwa Tshs Milioni 500, anazo fedha kiasi gani?
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Naweka wazi Watanzania wafahamu, niko radhi nipotee katika siasa kuliko kukumbatia uchafu.
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Namlaumu Lowassa kwa niaba ya Watanzania wote kwa mambo mengi sana na si kashfa ya Richmond pekee kama watu wanavyodhani.
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015
Slaa: 2006 feb 10, Waziri mkuu alikuwa Lowassa, sasa leo unapokuja kunambia hakuhusika maanake nini? #SlaaAnafunguka
— East Africa Radio (@earadiofm) September 1, 2015
Slaa: Naomba mtambue kwamba suala hili la RICHMOND halikuanzia kwa Kikwete bali lilianzia kwa Mkapa. #SlaaAnafunguka
— East Africa Radio (@earadiofm) September 1, 2015
Slaa: Ni afadhali nipotee kwenye siasa Tanzania na duniani kote kuliko kuyumbishwa na misimamo yangu. #SlaaAnafunguka
— East Africa Radio (@earadiofm) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Dhambi moja haihalalishi dhambi nyingine. Huwezi kutenda dhambi ukasema ni sawa kwa kuwa fulani naye katenda.
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Masha aliwahi hadi kuniwekea vinasa sauti Bungeni baada ya kumsema kwa kuingilia mchakato wa manunuzi Wizarani,haaminiki.
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015
Slaa: Wakaandika uongo kuwa RICHMOND ni kampuni ya stationary wala sio umeme. #SlaaAnafunguka
— East Africa Radio (@earadiofm) September 1, 2015
#DrSlaaAnazungumza Nilimwambia uso kwa uso Lowassa nikiwa Bungeni kuwa yeye ni fisadi kichwani, moyoni na tumboni.
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 1, 2015