Slaa: Lowassa akili yake ipimwe, kesi ya ulawiti Rais hapaswi kuingilia, anaingilia uhuru wa mahakama.#SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015
Slaa: Nani aliyeagiza maaskari waingie na mbwa pale mwembe chai msikitini? Sumaye huyu huyu aliagiza. #SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015
Slaa: Leo baadhi ya vyuo vinatumia kesi ya babu seya kufundishia kama kesi ya ulawiti halafu lowaasa anasema ataifuta #SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015
Slaa: Mengine ya Sumaye, Lowassa nayaweka akiba, sio kila silaha lazima niziweke hewani sasa! #DrSlaa
— Jamii Forums (@JamiiForums) September 1, 2015
Slaa: Lowassa akiwa Waziri Mkuu alibadilisha hadi mpaka wa Karatu na Monduli, leo anataka kuwa Rais? #DrSlaa
— Jamii Forums (@JamiiForums) September 1, 2015
Slaa: Ni afadhali kutokuwa na Rais wa aina hii, Rais ambaye anatumia udanganyifu kwakuwa watu hawajasoma hafai. #SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015
Slaa: Sijapata vitisho kama kipindi hiki. Rostam ndiye anayezilipia gharama kampeni za Urais CHADEMA #DrSlaa
— Jamii Forums (@JamiiForums) September 1, 2015
Slaa: Nimeombwa kugombea urais kwenye vyama vitano ila nimekataa kwakuwa mimi siamini katika kuhama hama vyama. #SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015
Slaa: Nimesema sina chama ila mimi ni mtanzania, nitawatumikia watanzania kwa vipawa alivyonipa Mwenyezi Mungu. #SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015
Slaa: Wapo watakaosema ameichana CHADEMA, ameijenga CCM. Ukweli haugawanyiki, kama yameitandika CHADEMA ndio ukweli ulivyo #SlaaAnafunguka
— East Africa TV (@eastafricatv) September 1, 2015